Zigo

6 views

Lyrics

Picha linaanza nshadata
 Picha linaanza nshawaka
 Picha linaanza nshachanganyikiwa
 Picha linaanza nshadata
 Ukweli mie amenikamata
 Kwa jinsi navyomuangalia
 Akinipatia nami sitamuacha
 Kwa nyuma ananipa mineso
 Moyoni ananipa mateso
 Wa kishua ila matendo ya ghetto
 Mtamu na hapendi vya dezo
 Nakula kwa macho, 5 star girl si mchezo
 Emu ona, emu ona
 Ukweli mie amenikamata
 Kwa jinsi navyomuangalia
 Akinipatia nami sitamuacha
 Aa aah ana rangi flani ya kimanga
 Lugha lafudhi ya kitanga
 Usiombe akapita na khanga (wu!)
 Nyuma figusu majanga (wu!)
 Ana mwendo wa kung'onya
 Tena alivyoshona
 Umbo kama katuni wa kuchora
 Aah Singida-Dodoma, kitandani Sodoma
 Kiuno kama nyuki, dondora
 Maneno ya watu sumu yana hila
 Wasije leta referee ka mpira
 Chunga katu usije ukanzira
 Nkashikwa na uchizi yaani utaila
 (Rooh!)
 Mtoto yani mukidi mukide
 Mpaka ndani shigidi shigide
 Hasa aki-lick D, lick De
 Ye ndo mama Chibudi Chibude eh
 Ukweli mie amenikamata
 Kwa jinsi navyomuangalia
 Akinipatia nami sitamuacha
 x2
 Too se-too sex yeah man
 Buzye-buzye ni amani
 Mungu ameumba hapa, yeah man
 Natamani nikaseme nae, yeah man
 Naamini amezaliwa ili mimi niwe nae eh
 Mpaka sasa nimechanganyikiwa
 Akaja ye awe nami
 Mutoto yani mukidi mukide
 Mpaka ndani shigidi shigide
 Hasa aki-lick D, lick De
 Ye ndo mama Chibudi Chibude eh
 Naamini amezaliwa ili mimi niwe nae
 Mpaka sasa nimechanganyikiwa
 Akaja ye awe nami
 Iwe iwe iwe
 Iwe iwe hii ndoto
 Ni tamu mpaka utamu umepitiliza
 Akikaa na wengine wanachukiza
 Shika leka dige yeah man
 Ngoja niongeze bidii yeah man
 Ukute hili zali langu yeah man
 Nikapige masinema nae yeah man
 Sheaaa!
 Yessaya!
 Nakula kwa macho
 Kwa macho
 Nakula kwa macho
 Kwa macho
 Nakula kwa macho
 Kwa macho
 Ukweli mie amenikamata
 Kwa jinsi navyomuangalia
 Akinipatia nami sitamuacha
 

Audio Features

Song Details

Duration
03:52
Key
8
Tempo
103 BPM

Share

More Songs by Ay

Albums by Ay

Similar Songs