Umewazidi Wote

1 views

Lyrics

Maneno yao umeyasikia
 Maneno yao umeyasikia
 Eti wanasema hivi nilivyo si hazi yako
 Eti wanasema kukupata wewe mimi sio hazi yako
 Eti wanasema mimi nilivyo elimu yangu ndogo
 Maneno yao umeyasikia maneno yao
 Eti wanasema mimi si fanani kuwa na nyumba hiyo
 Eti wanasema mimi nilivyo si hazi yako
 Hawajui tulianzia wapi hawajui
 Hawajui Kuna siri gani hawajui wanavyo tazama majumba hayo hawajui
 Hawajui mchango wangu kwako hawajui
 Wanavyo kutazama unavyo pendeza hawajui
 Hawajui hekima yangu kwako hawajui
 Hawajui ushauri wangu umekufikisha hapo
 Maneno yao nimeyasikia maneno yao
 Hawajui busara zangu zimekupa uonekane
 Hawajui maombi yangu ndiyo yana kubeba
 Hawajui nafasi yangu kwako hawajui Hawajui busara yangu kwako hawajui
 Hawajui ninavyo kuombea hawajui
 Wananitazama wanani hukumu ila hawajui
 Wanasema sifanani nawe wanasema hawajui maombi ninavyo omba yanakupa cheo
 Wanasema maneno yao wanasema
 Siku zote tabasamu rangu ni faraja kwako
 Ila wanasema hawajui wao wanasema
 Maneno mazuri ninayo tamka ukienda kazini
 Ndiyo maana cheo kinapanda ndiyo maana
 Ndiyo maana ofisini una heshima ndiyo maana
 Ndiyo maana unapata nafasi nzuri ndiyo maana
 Ndiyo maana biashara zinakwenda ndiyo maana
 Ushauri wangu kwa wanandoa wote siku zote
 Ushauri wangu kwa wanaume wote siku zote
 Neno hili lisitoke kinywami mwenu neno hili
 Binti zao wengi wamefanya mema lakini mke wangu (amewazidi wote)
 Mabinti wao wamefanya mama ila huyu peke yake (amewazidi wote)
 Nimewaona warembo wengi lakini yeye (amewazidi wote)
 Nimewaona warembo wengi yeye mke wangu (amewazidi wote)
 Katika mabinti nilio waona yeye peke yake (amewazidi wote)
 Nimewaona warembo wengi lakini yeye (aliwazidi wote)
 Katikati ya wasomi wengi yeye peke yake (amewazidi wote)
 Hatanilipo tembelea vyuo vyote yeye peke yake (aliwazidi wote)
 Nilipotembelea vijiji vyote yeye mke wangu (aliwazidi wote)
 Ndoa ina siri kubwa ndoa ina
 Ndoa ina siri kubwa ndoa ina
 Ndoa ina siri kubwa ndoa ina
 Ndoa ina siri kubwa ndoa ina
 Moyo una siri kubwa moyo una
 Moyo una siri kubwa moyo una
 Moyo una siri kubwa moyo una
 Moyo una siri kubwa moyo una
 Ndoa ina siri kubwa ndoa ina
 Ndoa ina siri kubwa ndoa ina
 Moyo una siri kubwa moyo una
 Moyo una siri kubwa moyo una
 Moyo una siri kubwa moyo una
 

Audio Features

Song Details

Duration
06:55
Tempo
160 BPM

Share

More Songs by Bahati Bukuku

Similar Songs