Upendo

1 views

Lyrics

Mambo yote yatakua sawa sawa
 Tukiweka kando yetu na rangi za nyuso zetu
 Kila kitu ooh, itakua sawa sawa
 Tukiweka kando yetu siasa ni ajabu
 Na mambo yote yatakua sawa sawa
 Tukiweka kando yetu na rangi za nyuso zetu
 Watu wote wooh watakua sawa sawa
 Tukiweka mbele yetu upendo upendo
 Na mambo yote yatakua sawa sawa
 Tukiweka kando yetu na rangi za nyuso zetu
 Kila kitu ooh, itakua sawa sawa
 Tukiweka kando yetu siasa ni ajabu
 Na mambo yote yatakua sawa sawa
 Tukiweka kando yetu na rangi za nyuso zetu
 Watu wote wooh watakua sawa sawa
 Tukiweka mbele yetu upendo upendo
 Upendo una baraka
 Upendo una uzima
 Upendo una umoja
 Upendo una furaha
 Upendo una imani
 Upendo ni kila kitu
 Wooh, yeeh, wooh, yeeh
 Upendo una baraka
 Upendo una uzima
 Upendo una umoja
 Upendo una furaha
 Upendo una imani
 Upendo ni kila kitu
 Wooh, yeeh, wooh, yeeh
 Hee, wacha watu wapendane
 Wacha watu waishi pamoja hee
 Wacha watu wapendane hee
 Everybody love one another
 We only have one life to live yo
 There's no black and white
 Is one blood, everybody dance
 Eeh, cheza eh, cheza eh
 Katika we, sukuma we
 Cheza eh, cheza eh
 Katika we, sukuma we
 Cheza eh, cheza we
 Katika we, sukuma we
 Cheza eh, cheza eh
 Katika we, sukuma we
 Cheza eh, cheza eh
 Katika we, sukuma we
 Cheza eh, cheza eh
 Katika we, sukuma we
 Cheza eh, cheza eh
 Katika we, sukuma we
 Cheza eh, cheza eh
 Katika we, sukuma, katika
 Twe twe twe
 Twe twe twe
 Twe twe twe
 Twe twe twe
 Twe twe twe
 Twe twe twe
 Twe twe twende
 Che, hee
 Wacha watu wapendane
 He he he
 Upendo we, upendo we
 Upendo we, upendo we
 Upendo we, upendo we
 Upendo we, upendo we
 Upendo we, upendo we
 Upendo we, upendo we
 Upendo we, upendo we
 Upendo we,upendo we
 Upendo we, upendo we
 Upendo we, upendo we
 

Audio Features

Song Details

Duration
05:34
Key
4
Tempo
116 BPM

Share

More Songs by Chopteeth Afrofunk Big Band

Similar Songs