Vinakamilika
3
views
Lyrics
Sijui ufanyavyo, Sijui utendavyo Kile nachojua, umeamrisha vinakamilika Sijui ufanyavyo, Sijui utendavyo Kile nachojua, umeamrisha vinakamilika Sijui utendavyo, Sijui ufanyavyo Kile nachojua, ukiamrisha vinakamilika Yes LORD, We are here, just to declare your word Ulichosema kule BWANA kwenye maombi yaliyopita, Tunaamini eeh BWANA kwa neno lako Yeeh eeeh. Sijui ufanyavyo, Sijui utendavyo Kile nachojua, umeamrisha vinakamilika Sijui ufanyavyo, Sijui utendavyo Kile nachojua, umeamrisha vinakamilika Unaweza yote, Unaweza yote Kile nachojua, ukiamrisha vinakamilika Sijui ufanyavyo, Sijui utendavyo Kile nachojua, umeamrisha vinakamilika Sijui ufanyavyo, Sijui utendavyo Kile nachojua, umeamrisha vinakamilika Sijui ufanyavyo, Sijui utendavyo Kile nachojua, umeamrisha vinakamilika Yeeh eeeh. BWANA tunakuamini, Neno lako ni mwanga Neno lako ni taa ya miguu yangu, Oooh, oooh Nataka mtamke Sijui ufanyavyo, Sijui utendavyo Kile nachojua, umeamrisha vinakamilika Sijui ufanyavyo, Sijui utendavyo Kile nachojua, umeamrisha vinakamilika Hallelujah...
Audio Features
Song Details
- Duration
- 06:53
- Key
- 9
- Tempo
- 134 BPM