Tulia
3
views
Lyrics
Tulia tulia na ujue Mungu ako Upitapo chini ya uvuli wa mauti Usiwe na hofu Asema Bwana yuko pamoja nawe Atembea nawe Afuta machozi Tulia na ujue yeye ni Mungu Shida nyingi mateso mengi Kilio kingi duniani Jipe moyo utashinda Aliyeanzisha kazi nzuri ndani yako Ni mwaminifu kutimiza
Audio Features
Song Details
- Duration
- 04:04
- Key
- 4
- Tempo
- 91 BPM