Nimbes
1
views
Lyrics
Siku moja mama nitakujengea, Nyumba ya kifahari uishi poa mama, na pesa za mziki Siku moja baba nitakununulia, gari la kifahari uendeshepoa baba, na pesa za mziki Siku moja dada nitakulipia, karo ya shule, uende university, na pesa za mziki Siku moja brother nitakufungulia biashara kubwa, uwe sonko brother, na pesa za mziki Ikiwa ntakua rubani, niendeshe ndege, niwe rubani, rubani anaimba na Ikiwa ntakua karani, karani wa benki, niwe karani, karani anaimba Ikiwa ntakua waziri, waziri wa serikali, niwe waziri, waziri anaimba Oh popote niendapo, chochote nifanyacho, yeyote nitakuwa, niwe naimba. Mama na baba naomba mniache niimbe Niache niimbe X3 Shule nitaenda lakini mniache niimbe Niache niimbe X3 kazi nitafanya lakini mniache niimbe Niache niimbe X3 Mimi naahidi ntaimba nyimbo za injili Niache niimbe X3 Mungu ni mwaminifu X4 Hakuna anayeweza hajapewa kitu cha kufanya, Wengine wanauza nguo gikosh Wenginewanashona ah, Wengine wamekonda wanakimbia, mabouncer wameshona. Wengine maodijo, polisi, ma CEO, ma M.D, ma H.U.S.T.L.E.R maustler Sitakuangusha mama, Sitakuangusha baba Uniache niimbe, Unieche niimbe X2 Uniache niteremke mama, teremke mama, teremke mama, eh Uniache niimbe, Unieche niimbe X2 oh Sitakuangusha mama, Sitakuangusha baba Uniache niimbe, Unieche niimbe X2 Uniache niteremke, teremke, nikicheza mziki ya baba yangu Uniache niimbe, Unieche X2
Audio Features
Song Details
- Duration
- 14:38
- Key
- 10
- Tempo
- 121 BPM