Silver Bells

6 views

Lyrics

Thamani yake hamjui naijua mie
 Mapenzi yake matamu wacha niwambie
 Msijipe vipeperepe huyu ni wangu naye wake mie
 Makubwa nilioona kwake msitaje niwahadithie
 Kimbelembele cha nini kusema yasio wahusu, si mbona yenu hatusemii
 Hasara yake furani anakonda kwa penzi letu, muone hata haya haonii
 Niacheni na mpenzi wangu eeh kibambaee
 Anayonipa yanakata kiu yangu eeh kibambaae
 Jamani huyu ni wangu nimempenda mwenyewe mkisema hapendezi nimempenda mwenyewe
 mkisema choka mbaya nimempenda mwenyewe
 mkiesma hainafai nimempenda mwenyewe
 Nipo naye kipenzi tunapeana malezi, yaletuliyofunzwa na wazazi
 Tunaogopa ya siku hizi ya biashara na maradhi, acha tujinafasi tujienziii
 Namuomba mola wetu hatuepushie, alilinde penzi letu eeeh
 Namazito mbele yetu yatuondokee, vinono vizidi kwetu eeh x2
 Nicheni na mpenzi wangu eee kibambaee
 Anayonipa yanakata kiu yangu ee kibambaae
 Walosema hayawi mbona yamekuwa, walosema simpatii
 Walosema simpati mbona nimempata, walosema hayawi
 ayayayaaaa mbona nimempata ayayayaaaaa
 ayayayaaa mbonayamekuwa ayayayaaaaa

Audio Features

Song Details

Duration
02:59
Key
9
Tempo
102 BPM

Share

More Songs by Jim Nabors

Albums by Jim Nabors

Similar Songs