Zaidi

6 views

Lyrics

Its bob manecky
 Na na na na×4
 Zinanitoka goosbamze
 Nikisikia jina lako
 Mimi naweukaa
 Kabisa me ni chizi wako
 Na kama ni mganga eee
 Mzuri uyo mganga wako
 Sio kwa kunipumbaza uku
 Bby mmhh
 Mamy ongeza ubuyu
 nizidi kuumumunya eee
 Tena na sukari guru
 Utamu nikitafuna eee
 Bby ongeza ubuyu
 nizidi kuumumunya eee
 Tena na sukari guru
 utamu nikitafuna eee (mhmh)
 Kama ni pili pili maa (na na na na)
 Acha ukali niusikie (na na na na)
 Kama nivita mama (na na na na)
 Acha adui wanivamie (na na na na)
 Kama we ni asali maa (na na na na)
 Acha na nyuki wanivamie (na na na na)
 Lakini penzi lako bby (na na na na)
 Ata kidogo lisipungue (na na na na)
 No no nooooo
 Zaidi zaidi zaidi zaidi (mhmhh)
 Nipe nipe
 Zaidi zaidi (mhmhh)
 Wewe zaidi zaidiii
 Wewe nipe zaidi zaidi (zaidiii)
 Haya yaya yaaah yaaah...
 Haya yaya haya yaya yaaaah...
 Nanyosha mikoni juu
 kwako me nimesarenda
 Naona maajabu
 Sungura kazidiwa ujanja
 Nimekuwa zuzu zuzu zuuu
 Nimekuwa bubu bubu buuu
 Nimekuwa mbumbu mbuu bby
 Nimekuwa zaidi ya nyumbu
 Sioni sisikiii... (aaah)
 Mamy ongeza ubuyu
 Nizidi kuumumunya eee
 Tena na sukari guru
 Utamu nikitafuna eee
 Bby ongeza ubuyu
 Nizidi kuumumunya eeee
 Tena na sukari guru
 utamu nikitafuna eeee
 Mhmhmh...

Audio Features

Song Details

Duration
03:46
Tempo
87 BPM

Share

More Songs by Jux

Albums by Jux

Similar Songs