Neema

1 views

Lyrics

Ingekuwa, jambo la kustahili
 Sijui ningekuwa wapi
 Ingekuwa sababu ya matendo
 Sijui ningetupwa wapi
 Ingekuwa kulingana jina
 Sijui ningeitwa nani
 Ningeitwa marehemu
 Ningeitwa mimi tasa
 Ningeitwa asiyefaa
 Asante Yesu kwa neema yako
 Wokovu nimepata bure
 Asante Yesu kwa neema yako
 Kufa ningekufa
 Asante Yesu kwa neema yako, kutupwa ningetupwa
 Jalalani ungenipata
 Nikila uchafu
 Msituni ungenikuta nikila majani
 Jalalani ungenipata nikiwa mchafu
 Msituni wangenitupa niishi na wanyama
 Mnyonge mimi wangenidharau tuu
 Dhaifu mimi wangenikanyaga tuu
 Sina nguvu mimi wangenimaliza tuu
 Ningetupwa kwenye tanuru la moto niangamie
 Ningetupwa kwenye shimo la simba nifie huko
 Ningetupwa kwenye tanuru la moto niangamie
 Ningetupwa kwenye shimo la simba nifie huko
 Jalalani ungenipata nikila uchafu
 Msituni ungenikuta nikila majani
 Asante Yesu kwa neema yako wokovu nimepata bure
 Asante Yesu kwa neema yako kufa ningekufa
 Asante Yesu kwa neema yako kutupwa ningetupwa
 Jalalani ungenipata nikila uchafu
 Msituni wangenitupa niishi na wanyama
 Ni kwa neema (neema)
 Neema (neema), neema (neema)
 Asante kwa neema (neema)
 Neema (neema), neema(neema)
 Ooh, ni kwa neema (neema)
 Neema (neema), neema(neema)
 Asante kwa neema (neema)
 Neema (neema), neema (neema)
 Mmmhh
 Naishi kwa neema (neema)
 Neema (neema), neema (neema)
 Ooh, kwa neema
 Neema (neema), neema (neema)
 Uhai kwa neema (neema)
 Neema (neema), neema (neema)
 Huduma ya neema (neema)
 Neema (neema), neema (neema)
 Ooh.
 Ni kwa neema yako

Audio Features

Song Details

Duration
01:14
Key
4
Tempo
58 BPM

Share

More Songs by Kambua

Similar Songs