Subira

2 views

Lyrics

Aya! Aiyayaya yaah
 Chiriri papipa para pirarira rii
 Aiyayaya yaah
 Mombasa bay (yah yah yah)
 Baila aah aah
 Lesotera Natasha bae (Tanga ya tajiri)
 Father boznia tala lux (AbyDady)
 Wasikitika usije vunja shingo hiyo mama
 Na huko kusononeka usije ita mapaka leo
 Wakaja kukuparura ukapoteza uzuri wako
 Na ukija ukiolewa usipendeze kwa mume wako
 Aiya iya iya iyaaah.
 Na ujichunge sana maana utajichakaza
 Na ule punje ujana maana utakuchakaza
 Subira subira yako my love
 Ipo mikononi mwake Molla baba
 Subira subira yako mamito
 Ije mikononi mwako mafungu saba
 Anaye toa ni Molla pekee yeye
 Kwa kila goti na dua anajibu yeye
 Usije itaka harusi kwa pupaa
 Usije itaka harusi ukarudi na talaka
 Usikimbilie mume ukaukondesha moyo
 Usikimbilie mume ukaukondesha moyo
 Usije itaka harusi kwa pupa
 Usije itaka harusi ukarudi na talaka
 Usikimbilie mume ukaukondesha moyo
 Usikimbilie mume ukaukondesha moyo
 Kuwa na subira, usiwe na pupa wee
 Molla amekuumba na sifa kedekede
 Ukimuomba yeye atakusikia
 Jiamini mama usiwe na mapepe
 Aleeh ma, mapepe, ma ma mapepe
 Tuliza mapepe, ma ma mapepe
 Yanini tungule, angali mume majaliwa
 Kwanini ujichoreshe na mali yako yaliwa
 Utapenda vibovu upewe maradhi kukimbilia mapenzi
 Uje upate tabu kwa hayo mavazi uyachukie mapenzi
 Anaye toa ni Molla pekee yeye
 Kwa kila goti na dua anajibu yeye
 Usije itaka harusi kwa pupa
 Usije itaka harusi ukarudi na talaka
 Usikimbilie mume ukaukondesha moyo
 Usikimbilie mume ukaukondesha moyo
 Usije itaka harusi kwa pupa
 Usije itaka harusi ukarudi na talaka
 Usikimbilie mume ukaukondesha moyo
 Usikimbilie mume ukaukondesha moyo
 ♪
 AbyDady
 

Audio Features

Song Details

Duration
04:00
Key
7
Tempo
120 BPM

Share

More Songs by Kassim Mganga

Albums by Kassim Mganga

Similar Songs