Nikupendeze

3 views

Lyrics

Oh...
 oooh yeah...
 yeaaaah...
 oh ooh uui.
 (still alive)
 Mienendo yangu na tabia zangu zikupendeze
 kuvaa kwangu na kunena kwangu kukupendeze
 mienendo yangu na tabia zangu zikupendeze
 kuvaa kwangu na kunena kwangu... naomba ah.
 Nifanane nawe yesu niwe jinsi upendavyoX2
 ♪
 Niguze nifinyange unibeebe
 niunde nitengeneze niwe kama wewe
 NIKUPENDEZE
 mm ah...
 NIKUPENDEZE
 Mhmmm...
 NIKUPENDEZE
 Eee...
 NIKUPENDEZE
 Mhmm mm...
 ♪
 Familia yangu marafiki zangu tuwe sawa nawe
 biashara zangu kila kitu changu kiwe sawa nawe
 Familia yangu marafiki zangu tuwe sawa nawe
 biashara zangu kila kitu changu kiwe sawa nawe ee
 Niguze nifinyage unibeebe
 niunde nitengeneze niwe kama wewe X2
 
 NIKUPENDEZE
 ee baba ah maishani mwangu...
 NIKUPENDEZE
 Ee baba familia yangu...
 NIKUPENDEZE
 Oh baba yeah yea...
 NIKUPENDEZE
 baba mienendo yangu...
 oh yea yea...
 ♪
 Nifanane nawe yesu niwe jinsi upendavyo
 niunde nitengeneze niwe kama we we
 NIKUPENDEZE
 ♪
 oh nikupendeze...
 NIKUPENDEZE
 eiye katika mienendo yangu...
 NIKUPENDEZE
 aah niwe sawa nawe...
 NIKUPENDEZE
 woye woye woye woye nitembee nawe...
 NIKUPENDEZE
 baba baba kwa kunena kwangu...
 NIKUPENDEZE
 
 hoye baba natamani sana.
 NIKUPENDEZE
 woye baba nakupenda sana...
 NIKUPENDEZE
 natamani sana nikupendeze...
 kwa kunena kwangu
 kutembea kwangu
 oh niamkapo baba
 wacha nikupendeze
 

Audio Features

Song Details

Duration
03:54
Key
8
Tempo
184 BPM

Share

More Songs by Mercy Masika

Similar Songs