Nipe Mimi
2
views
Lyrics
Hujatulia honey nakwambia Kwanini nitulie wakati nakupenda? Mheshimiwa mi nimeshakueleza (come on ma, yeah come on) Maneno matamu umekwisha niambia Lakini hata moja bado hujatimiza Hujatulia honey nakwambia Kwanini nitulie wakati nakupenda? Ah, come on ma, come on ma (ah) Come on ma, (mmh) Unaguna nini? Nipe mimi kwani mi ndo mimi Tumetoka mbali kama nyuki na asali Nipe mimi, nipe mimi mpenzi (kwani mi ndio mimi) Nasikia utamu, nasikia utamu mpaka kwa moyo Niko fit alright, stimu zangu zishadanabia Kweli dear nakwambia Nipe mimi, nipe mimi kwani mi ndo mimi (ah wewe) Sasa, tena zima taa mama Mdadi ushanipanda mi kichaa (ngoja) Ngoja ngoja yaumiza tumbo Nipe niweke, ongeza makeke Nikishamaliza nicheke, uh Ah, unaisikia inavyokuingia, unafurahia, unachukia? Unafurahia, unachukia? (aka) Unafurahia, unachukia? Okay, okay Okay, okay, okay hakuna wasiwasi, cheza nami Dance with me, nipe mi kwani ndio mi Yeah, yeah, mi ndo mi Hujatulia honey nakwambia Kwanini nitulie wakati nakupenda? Mheshimiwa mi nimeshakueleza (come on ma, yeah come on) Maneno matamu umekwisha niambia Lakini hata moja bado hujatimiza Hujatulia honey nakwambia Kwanini nitulie wakati nakupenda? Usinipe maji dear kiu nikisikia Usinipe chakula njaa nikisikia Nipe mapenzi ya kweli nikuwaze kila saa Nasubutu kusema hivi we ndo wangu mama Nipe nafasi nikuweke moyoni, nikutunze kama mboni Nipe mimi, nipe mimi wajuba tuwakate vilimi (vilimi) Muda unaruhusu, hali ya hewa inaruhusu Njoo nikupige busu, japo kiduchu Umeumbwa kwa ajili yangu, walishaniambiaga wenzangu Kitabia tunaendana (tunaendana) Miondoko tunaendana (tunaendana) Sioni sababu ya mi na wewe kutokupendana Unadai niache mziki, sa si ntakufa na dhiki, usiwasikilize wanafiki Tukiaminiana tutaoana, we ndio mama mwenyewe Nakupenda we mwenyewe, punguza papara pupa, chochote nitakupa Huyu manzi ali-come nikamghasi akakubali Nikam-show leo lazima utingike Mpaka nikubambike, kiuno nikushike Tukawajibike Lete utamu, lete utamu mama, mama Lete utamu kwa kachaa Utawakwachu, wacha moto uwake Wacha moto uwake, midnight midnight mida mibaya TMK, TMK, wacha moto uwake Dunga, Dunga, wacha moto uwake TMK, TMK Hujatulia honey nakwambia Kwanini nitulie wakati nakupenda? Mheshimiwa mi nimeshakueleza (come on ma, yeah come on) Maneno matamu umekwisha niambia Lakini hata moja bado hujatimiza Hujatulia honey nakwambia Kwanini nitulie wakati nakupenda? Hujatulia honey nakwambia Kwanini nitulie wakati nakupenda? Mheshimiwa mi nimeshakueleza (come on ma, yeah come on) Maneno matamu umekwisha niambia Lakini hata moja bado hujatimiza Hujatulia honey nakwambia Kwanini nitulie wakati nakupenda? Baby, baby Oh baby, oh, oh, oh baby TMK, (kwanini nitulie wakati nakupenda?) Baby (kwanini nitulie wakati nakupenda?) Oh, oh, kueleza,Kwanini nitulie wakati nakupenda? Dear, baby, tema, oh baby TMK
Audio Features
Song Details
- Duration
- 04:20
- Key
- 8
- Tempo
- 105 BPM