Sitamani
2
views
Lyrics
Switchh Sifikirii mangapi nafanya Kukuridhisha baba we Sitamani kua nawe tena tena aah Na vile me nimefundwa vyema nikavumilia kua nawe Nimeamini wahenga lisema sema aah Vyema kupenda ukipendwa Penda unapopendwa mpendwa Usijependa usipopendwa mpendwaaa Sitamani tena kupenda Nilishapenda na kutendwa Sitopenda nisipopendwa teena aah Sitamaniii Sifikiriiii Usidhanii Kua nami Kukupenda nikupende boy Ila ukaniona me kama koolo Navyotaka sitoweza boy Mifupa siwezi mwenzio kibogooyo Kukupenda nikupende boy Ila ukaniona me kama koolo Navyotaka sitoweza boy Mifupa siwezi mwenzio kibogooyo Vyema kupenda ukipendwa Penda unapopendwa mpendwa Usijependa usipopendwa mpendwaaa Sitamani tena kupenda Nilishapenda na kutendwa Sitopenda nisipopendwa teena aah Sitamaniii Sifikiriiii Usidhanii Kua nami Sitamanii yeah yeah yeah Sitamanii yeah Sitamanii yeah yeah yeah Sitamanii yeah Vyema kupenda ukipendwa Penda unapopendwa penda Usijependa usipopendwa mpendwa mpendwaaa Sitamani tena kupenda Nilishapenda na kutendwa Sitopenda nisipopendwa teena tena teenaaa Sitamaniii Sifikiriiii Usidhanii Kua nami "Esto kizy baby"
Audio Features
Song Details
- Duration
- 03:26
- Key
- 11
- Tempo
- 100 BPM