Mchumba
Lyrics
Kaniweza mimi mi kwake muoga kunguru nifanyeje ajue Ntakufa mimi baby roho yangu inusuru nifanyeje ujue Nikuhonge au Aaah nikuposti au nikupe mmmmh au Aaaah Nikuhonge au Aaah nikuposti au nikupe mmmmh au Aaaah Mchumba unataka nini mchumba (Aiyeke iye) Roho unataka nini (Aiyeke Iye) Mchumba unataka nini mchumba (Aiyeke iye) Roho unataka nini roho (Aiyeke Iye) Kidege kinaondokaaa Kidege kinaondokaaa Aiya yayaa kinaondokaaa Aiya yayaaa kinaondokaa Kshi kshu kshi shi shi Kshi kshu kshi shi shi Kshi kshu kshi shi shi Kshi kshu kshi shi shi Mwenzenu nampenda nampenda sana akiniacha mnizike mje mnizike Ajue mapema mapema sana akiniacha mnizike Nikuhonge au Aaah nikuposti au nikupe mmmmh au Aaaah Nikuhonge au Aaah nikuposti au nikupe mmmmh au Aaaah Mchumba unataka nini mchumba(Aiyeke iye) Roho unataka nini roho (Aiyeke Iye) Mchumba unataka nini mchumba(Aiyeke iye) Roho unataka nini roho (Aiyeke Iye) Kidege kinaondokaaa Kidege kinaondokaaa Aiya yayaa kinaondokaaa Aiya yayaaa kinaondokaa Kshi kshu kshi shi shi Kshi kshu kshi shi shi Kshi kshu kshi shi shi Kshi kshu kshi shi shi Kidege kinaondokaaa Kidege kinaondokaaa Aiya yayaa kinaondokaaa Aiya yayaaa kinaondokaa
Audio Features
Song Details
- Duration
- 03:36
- Key
- 10
- Tempo
- 113 BPM