Siri (feat. Nikk Wa Pili)
1
views
Lyrics
Nimeanza safari ya penzi na wewe Usikatishe Mungu mwema baba, mbali atufikishe Mimi binadamu nakosea nkiteleza usihuzunike Milele mwanadada Nikifa unizike Kutoka kwenye uvungu wa moyo wangu natamka ni wewe Taswira peke kwenye ndoto zangu mama Mfariji pekee nikiwa na chozi langu mama (ni wewe) Umenishinda siri kifuani mwangu Haa Nikupeleke nyumbani kwetu sheri eh Ukawajue na ndugu zangu mama Unipeleje nyumbani kwenu bibi wewe Nikawaone shemeji zangu mama Siri ya nini (siri) Nini maana yake (siri) Siri ya nini (siri) Nini hasara zake (siri) Siri oooh! Siri Mapenzi ya siri Oh, mama lolo Oh, mama lolo Oh, mama lolo Eh, mama Nipe utam kabla hujatamka usingizi Si come mpaka tukiamka ni seriez Kakongo twende kamara kibirizi Mapaja yake utamu michirizi Michepuko imenuna imezila siri sili Nawe ni kachumbari Mayonnaise pilipili Pilipili manga Tunakili kili wanga Kilimanjaro nyumbani kwetu Kisimiri Mwanga Simama niki- Simama wima Siri ni kilele nikufikishe kwa kina Si umebeba beba mkungu wa muleba Uchungu kama kwao wakajifungue labor Umebeba beba mkungu wa muleba Uchungu kama kwao wakajifungue labor Oh, Mama lolo Mama lolo, kwako sijiwezi Oh, mama lolo Sitoficha, mdudu wa mapenzi Oh, mama lolo Mama lolo, kwako sijiwezi Oh, mama lolo Mama lolo Kwenye moyo mi sina (siri) Je nikutaje kajina (siri) Najua wenye fitina (siri) Jembe nipo nalima (siri) Mmh Basi nawe usifiche ma (siri) Sema watupishe na (siri) Vichefu chefu watapishe ma (siri) Penzi letu lisiishe ma (siri)
Audio Features
Song Details
- Duration
- 03:57
- Tempo
- 92 BPM