Yesu Nakupenda
1
views
Lyrics
Yesu nakupenda, bwana yesu wee nakupenda Yesu wee nakupenda, bwana yesu wee nakupenda Kama vile wewe ulivyo nipenda kwanza nakupenda Kisha tena ukautoa uhai wako nakupenda Kama vile wewe ulivyo nipenda kwanza nakupenda Kisha tena ukautoa uhai wako nakupenda Yesu uh-h-h-h-h-uh, Yesu Yesu wee nakupenda, bwana yesu wee nakupenda Yesu wee nakupenda, bwana yesu wee nakupenda Kama vile wewe ulivyo nipenda kwanza nakupenda Kisha tena ukautoa uhai wako nakupenda Kama vile wewe ulivyo nipenda kwanza nakupenda Kisha tena ukautoa uhai wako nakupenda Yesu uh-h-h-h-h-uh, Yesu ♪ Msalabani dhambi zangu ulichukua Kufika kalivari Bwana ulizitua Nami nimewekwa huru ninakwimbia Msalabani dhambi zangu ulichukua Kufika kalivari Bwana ulizitua Nami niwekwa huru ninakwimbia Nikufananishe na nani mwokozi wangu? (Baba) Naona fahari mimi ninakuimbia (Baba) Nani asimame badala yako? (Baba) Hakuna mwingine ila Yesu pekee yako (Baba) Nikufananishe na nani mwokozi wangu? (Baba) Naona fahari mimi ninakuimbia (Baba) Nani asimame badala yako? (Baba) Hakuna mwingine ila Yesu pekee yako (Baba) Nafahamu Yesu anipenda mimi Yesu wee nakupenda, bwana yesu wee nakupenda Yesu wee nakupenda, bwana yesu wee nakupenda Kama vile wewe ulivyo nipenda kwanza nakupenda Kisha tena ukautoa uhai wako nakupenda Kama vile wewe ulivyo nipenda kwanza nakupenda Kisha tena ukautoa uhai wako nakupenda Yesu uh-h-h-h-h-uh, Yesu ♪ Nilipokuwa kwa shetani niliugua Ndugu na jamaa zangu walinikimbia Lakini Yesu wa huruma ukanihurumia Nikufananishe na nani mwokozi wangu? (Baba) Naona fahari mimi ninakuimbia (Baba) Nani asimame badala yako? (Baba) Hakuna mwingine ila Yesu pekee yako (Baba) Nikufananishe na nani mwokozi wangu? (Baba) Naona fahari mimi ninakuimbia (Baba) Nani asimame badala yako? (Baba) Hakuna mwingine ila Yesu pekee yako (Baba) Ninajua Yesu wanipenda mimi Yesu wee nakupenda, bwana yesu wee nakupenda Yesu wee nakupenda, bwana yesu wee nakupenda Kama vile wewe ulivyo nipenda kwanza nakupenda, Kisha tena ukautoa uhai wako nakupenda Kama vile wewe ulivyo nipenda kwanza nakupenda Kisha tena ukautoa uhai wako nakupenda Yesu uh-h-h-h-h-uh, Yesu ♪ Kwimake eh, kwimake weh Kwimake weeh, kwimake eh Kwimake mundewa Yesu (Alleluia kwimake Baba) oh kwimake eh Kunilapa kwe ruhoma baba (Alleluia kwimake Baba) oh kwimake weh Kwimake baba (Alleluia), kwimake baba (kwimake Baba) Kwimake baba (Alleluia) kwimake baba (kwimake Baba) Kwimake baba (Alleluia) ma ma ma ma (kwimake Baba) Kwimake mundewa baba (Alleluia) oh kwimake eh (kwimake Baba) Jaga kyala (Alleluia) jaga kyala (kwimake Baba) Jaga kyala baba (Alleluia) jaga kyala (kwimake Baba) Asante mwokozi wangu (Alleluia) uh asante eh (kwimake Baba) Asante mwokozi wangu (Alleluia) uh asante eh (kwimake Baba) Kwimake baba (Alleluia) ba ba ba ba (kwimake Baba) Kwimake ba ba ba (Alleluia) kwimake baba (kwimake Baba) Kwimake mundewa Yesu (Alleluia) oh kwimake eh (kwimake Baba) Kwimake mundewa Yesu (Alleluia) oh kwimake eh (kwimake Baba)
Audio Features
Song Details
- Duration
- 06:58
- Key
- 4
- Tempo
- 105 BPM