Vunja Mifupa

1 views

Lyrics

Vunja mifupa kama meno bado iko. vunja mifupa kama bado meno iko... utakuja lia ukishapoteza muda wako... utakuja lia ukishapoteza muda waaako
 Fikiria kama ungali bado kijana aaa
 Tengeneza maisha yako usaidie jamii yako... masiku miaka zinaenda hazitarudia eee... masiku miaka zinaenda hazitarudi tena
 Kwa hivyo chunga ndugu yangu ee .usifate wale wabaya
 Kwa hivyo chunga ndugu yangu ee usifate wale wabaya
 Eeeeee... aaaaa
 Eeeeeee
 Punguza ulevi ndugu chunga jamii uako ee... watateseka bure kwa ajili yako
 Somesha mtoto shule... apate elimu eeee atafaidika kwa maisha yake
 Vumilia ndugu maisha magumu eee dunia ni hivyo... hivyo ndivyo ilivyooo
 Punguza ulevi ndugu chunga jamii yako ee watateseka bure kwa ajili yako
 Somesha mtoto shule. apate elimu ee atafaidika kwa maisha yake
 Vumilia ndugu maisha magumu ee... dunia ni hivyo. hivyo ndivyo ilivyo... ooo
 Siompeta... hahahaaa
 Samba mapangala.adiote paris... ooohh. jotoo
 Hima hima hima
 Ses hese ses
 Chini jujuu x 8

Audio Features

Song Details

Duration
05:42
Key
4
Tempo
130 BPM

Share

More Songs by Samba Mapangala

Similar Songs