Huku

2 views

Lyrics

Iya, iya iya
 Iya, iya iya
 Sho, Madjozi
 ♪
 Kwani unataka Madjozi ade ama nini
 Niahiambe aliki
 Mbona mwataka nasema napenda lakini
 Yeye haniambii
 Haweza akashindwa kifungo ata mia mbili
 Ela hanipigii, hivi nasema itabidi ongee ana mimi
 Kini hanisikii
 Kusubiri mimi kweli sitaweza
 Unanifeeli, keniwezi kunionyesha
 Sasa mimi nikihisi unanipenda
 Hukuniambia na ndio maana nilienda
 Hukuniambia, huku hukuniambia (Huku)
 Niambia, huku hukunambia
 Niambia, huku hukunambia (Huku)
 Niambia, huku hukunambia
 Hukuniambia kwamba wewe unanipenda
 Hukuniambia huku huku
 Hukuniambia kwamba wewe utaniweza
 Hukuniambia huku huku
 Huku huku, (Huku)
 Huku huku, Huku
 Huku huku, (Huku)
 Huku huku, Huku
 Huku huku, (Huku)
 
 Huku huku, Huku
 ♪
 Sasa ukiniona na watu unakasirika, roho inakunjika
 Usiku uliniona natembea na arayika
 Kini hukuniita mpaka nyumbani umenitumia?
 Aje akipa kini hukunalika
 Wasa wanasema nionyeshe uacha kutificha
 Ni lakuni hambiaa
 Kusubiri mimi kweli sitaweza
 Unanifeeli, keniwezi kunionyesha
 Sasa mimi nikihisi unanipenda
 Hukuniambia na ndio maana nilienda
 Hukuniambia, huku hukuniambia (Huku)
 Niambia, huku hukunambia
 Niambia, huku hukunambia (Huku)
 Niambia, huku hukunambia
 Hukuniambia kwamba we unanipenda
 Hukuniambia huku huku
 Hukuniambia kwamba wewe utaniweza
 Hukuniambia huku huku
 Huku huku, (Huku)
 Huku huku, Huku
 Huku huku, (Huku)
 Huku huku, Huku
 Huku huku, (Huku)
 Huku huku, Huku
 Sho, Huku huku
 Huku huku, Huku
 Aish, Sho!
 

Audio Features

Song Details

Duration
03:33
Key
1
Tempo
128 BPM

Share

More Songs by Sho Madjozi

Albums by Sho Madjozi

Similar Songs