Chuki

1 views

Lyrics

(Na-na, na-na, na-na, ah)
 (Na-na, na-na, na-na, ah)
 (Na-na, na-na, na-na, ah)
 (Na-na, na-na, na-na, ah)
 Ni sababu gani mwanitenda hivi
 Uongo mwanena kunihusu mimi
 Hamnifahamu hamjui, chenye nafanya maishani
 Kwangu nyumbani, mwangu nyumbani
 Mlijidai eti nyie marafiki
 Kumbe nia zenu zilikuwa kundi
 Kunitenganisha na mpenzi wa roho yangu na kuniacha
 Mashakani, taabani
 Ni chuki, ndio nahisi, nikiwaza jinsi
 Mlivyojitolea kuniudhi, bila matokeo yaani
 Ni chuki, ndio nahisi, nikiwaza jinsi
 Mlivyojitolea kuniudhi, bila matokeo yaani
 Mambo yenu mi sishughuliki nayo
 Mnavyoishi mimi sina hoja nayo
 Kinachonihusu si lazima mkifahamu na kushinda
 Mkipiga domo, mkipiga domo
 Mlichotenda kwangu kweli hakifai
 Kiwango cha unchungu mlinipa yaani
 Sina heshima kwenu tena, ukuta wa chuki mlijenga
 Kati mi nanyi, kati mi nanyi
 Ni chuki, ndio nahisi, nikiwaza jinsi
 Mlivyojitolea kuniudhi, bila matokeo yaani
 Ni chuki, ndio nahisi, nikiwaza jinsi
 Mlivyojitolea kuniudhi, bila matokeo yaani
 Ni chuki, ndio nahisi, nikiwaza jinsi
 Mlivyojitolea kuniudhi, bila matokeo yaani
 Ni chuki, ndio nahisi, nikiwaza jinsi
 Mlivyojitolea kuniudhi, bila matokeo yaani
 (Na-na, na-na, na-na, ah)
 Ni shida kuamini yaani
 (Na-na, na-na, na-na, ah)
 Kiwango cha uchungu mlionipa
 (Na-na, na-na, na-na, ah)
 Heshima kwenu mimi sina tena
 (Na-na, na-na, na-na, ah)
 Basi chuki ndio mimi nahisi
 Ni chuki, ndio nahisi (ndo nahisi), nikiwaza jinsi (ndo nahisi)
 Mlivyojitolea kuniudhi, bila matokeo yaani (chuki ndio nahisi)
 Ni chuki, ndio nahisi (chuki ndio nahisi), nikiwaza jinsi (chuki ndio nahisi)
 Mlivyojitolea kuniudhi, bila matokeo yaani
 Ni chuki, ndio nahisi (chuki ndio nahisi), nikiwaza jinsi (ndio nahisi)
 Mlivyojitolea kuniudhi, bila matokeo yaani
 Ni chuki, ndio nahisi (chuki ndio nahisi), nikiwaza jinsi (chuki ndio nahisi)
 Mlivyojitolea kuniudhi, bila matokeo yaani
 
Audio Features

Song Details

Duration
04:43
Key
7
Tempo
85 BPM

Share

More Songs by Wyre

Albums by Wyre

Similar Songs