Naomba

3 views

Lyrics

Uuuu eee eeeh woooo
 Naomba baba
 ninaomba
 mikono nimeinua
 nishike baba unifiche
 mikononi mwako
 nionyeshe baba wema wako
 unifanye chombo chako
 ninaomba
 naomba
 baba mi naomba
 sikudhani mimi nimekupa huzuni kiasi hicho
 dhambi nyingi maombi hayatoki
 nisamehe baba
 uchovu na uvivu umenijaza moyoni
 sina amani
 naomba unipe raha msamaha
 naomba uwashe taa
 popote niendapo chochote nifanyacho sasa
 nifungue macho
 nipate kuona na kuhisi
 nipate upako wako
 naomba baba
 ninaomba mikono nimeinua
 nishike baba unifiche
 mikononi mwako
 nionyeshe baba wema wako nifanye chombo chako
 ninaomba naomba
 baba mi naomba
 sikudhani mimi nikiteleza
 nakusulubu tena
 uchungu mwingi machozi yakutoka we
 nisamehe baba
 nizibie ufa nisijenge ukuta bwana
 umetukuka
 naomba unipe raha msamaha
 naomba uwashe taa
 popote niendapo na nifanyacho sasa
 nifungue macho
 nipate kuona na kuhisi
 nipate upako wako
 naomba baba mi naomba
 mikono nimeinua
 nishike baba
 unifiche
 mikononi mwako
 nionyeshe baba wema wako
 nifanye chombo chako
 ninaomba naomba
 ba mi naomba
 aia baba mi naomba

Audio Features

Song Details

Duration
04:42
Key
5
Tempo
127 BPM

Share

More Songs by Adawnage

Similar Songs