Uwezo

3 views

Lyrics

Uh-oh-oh, oh-uh-oh, ye
 Ye-ei-eh, ei-eh, eey
 Nilikuwa natafuta ukweli wa maisha yangu
 Sasa mie nauliza, nianze wapi?
 Marafiki wangu wote wamenikimbia, ah-eh
 Jehovah Nissi nalia, nihurumie
 Nipe uwezo, uwezo
 Wakusimama imara juu ya neno lako, eh
 Uwezo, uwezo
 Wakusimama imara juu ya neno lako
 Nilikuwa natafuta kipenzi cha roho yangu
 Sasa mie nauliza, nianze wapi, eh?
 Maumivu, machungu mingi yamenijaza mie, eh-eh
 Jehovah Nissi nalia, nihurumie
 Nipe uwezo, uwezo
 Wakusimama imara juu ya neno lako, eh
 Uwezo (Yahweh nipe) uwezo
 Wakusimama imara juu ya neno lako, eh
 Nilikuwa natafuta ukweli wa maisha yangu, oe
 Ei, sasa mie nauliza, nianze wapi, eh?
 Marafiki wangu wote wamenikimbia, ah-eh-eh
 Jehovah Nissi nalia, nihurumie
 Nipe uwezo, nipe uwezo, ae
 Wakusimama imara juu ya neno lako, eh
 Uwezo, uwezo
 Wakusimama imara juu ya neno lako, eh
 ♪
 Oh, oh-oh
 Nipe uwezo, uwezo
 Wakusimama imara juu ya neno lako, eh
 Uwezo, uwezo
 Wakusimama imara juu ya neno lako, eh
 Oh-ah, oh-ah, oh-ah
 Oh-ah, oh-ah
 Oh-ah, oh-ah, oh-ah (eh-eh, eey)
 Oh-ah (oh-oo-ah), oh-ah (oh-ye-eh)
 Oh-ah, oh-ah, oh-ah (ye-ye-ey)
 Oh-ah (mh-oh-oh), oh-ah (oh-ye-eh)
 Oh-ah, oh-ah, oh-ah
 Nipe uwezo, uwezo
 Wakusimama imara juu ya neno lako, eh
 Uwezo, uwezo
 Wakusimama imara juu ya neno lako, eh
 Eh, wakusimama imara juu ya neno lako, eh
 Oh, oh bwana
 Wakusimama imara juu ya neno lako, eh
 

Audio Features

Song Details

Duration
04:41
Key
8
Tempo
93 BPM

Share

More Songs by Adawnage

Similar Songs