Akutendee Nini

3 views

Lyrics

Aleluya
 Yesu ni Bwana
 Nawala hana mpinzani, atatenda mambo
 Wataka akutende nini, akutende nini we
 Neno moja nalitaka kwa Bwana, nalo ni hili
 Nikae nyumbani mwake siku zote za maisha yangu
 Jala Lake limejaa hakuna aliyepunguza hata robo akutende nini we
 Wengi wataka kuwa rahisi wa nchi, wengi wataka kuwa wa bunge nawe akutende nini we
 Mwingine ombi lake apate shamba huyu mume na huyu mke, wataka akutende nini we
 Mama huyu ombi lake apate mtoto, wengi wapate elimu wataka akutende nini we
 Mwambie(mwambie)
 

Audio Features

Song Details

Duration
04:00
Key
4
Tempo
98 BPM

Share

More Songs by Christina Shusho

Similar Songs