Napenda
3
views
Lyrics
Napenda nione ukinitendea, napenda nione ukinibariki Napenda nione ukiniinua, kila kitu kwako mimi napenda Napenda nione ukiniponya, napenda nione ukinifariji Napenda nione ukiniinua, kila kitu kwako Bwana, mimi napenda Napenda nione ukinitendea, napenda nione ukinibariki Napenda nione ukiniinua, kila kitu kwako mimi napenda Napenda nione ukiniponya, napenda nione ukinifariji Napenda nione ukiniinua, kila kitu kwako Bwana, mimi napenda Napenda oh, napenda, kila kitu kwako mimi napenda Napenda oh, napenda, kila kitokacho kwako mimi napenda Yesu eh, mimi napenda, mambo yako napenda Napenda oh, napenda, kila kitu kwako mimi napenda Napenda oh napenda, kila kitokacho kwako mimi napenda Napenda neno lako, napenda hekima zako Napenda sifa zako Yesu, kila kitu kwako mimi napenda Napenda hukumu zako, napenda huruma zako Napenda rehema zako, kila kitokacho kwako mimi napenda Napenda neno lako, napenda hekima zako (penda, penda) Napenda sifa zako Yesu, kila kitu kwako mimi napenda Napenda hukumu zako, napenda huruma zako (penda) Napenda rehema zako, kila kitokacho kwako mimi napenda Napenda oh, napenda, kila kitu kwako mimi napenda Napenda oh, napenda, kila kitokacho kwako mimi napenda Mufalme nakupenda, habari zako nazi penda Napenda oh, napenda, kila kitu kwako mimi napenda Napenda oh, napenda, kila kitokacho kwako mimi napenda Napenda utawala wako, napenda ahadi zako Napenda njia zako Yesu, na mafudisho yako Na ukarimu wako Napenda oh, napenda, kila kitu kwako mimi napenda Napenda oh, napenda, kila kitokacho kwako mimi napenda Napenda oh, napenda, kila kitu kwako mimi napenda Napenda oh, napenda, kila kitokacho kwako mimi napenda Napenda oh, napenda, kila kitu kwako mimi napenda Napenda oh, napenda, kila kitokacho kwako mimi napenda Napenda, napenda Yesu, na penda (kila kitokacho kwako mimi napenda) Kibali chako (kila kitokacho kwako mimi napenda) Na upole Wako (kila kitokacho kwako mimi napenda) Oh, napenda, napenda Yesu, na penda (kila kitokacho kwako mimi napenda) Napenda, napenda, na penda, na penda (kila kitokacho kwako mimi napenda) Oh, na kibali chako (kila kitokacho kwako mimi napenda)
Audio Features
Song Details
- Duration
- 04:18
- Key
- 7
- Tempo
- 93 BPM