Ushirika Na Wewe
3
views
Lyrics
Mimi nataka ushirika nawe ee.(Ewe roho) Mimi nataka ushirika nawe ee (Roho) Mimi nataka ushirika nawe ee.(Ewe roho) Mimi nataka ushirika nawe ee (Roho) Mimi nataka ushirika nawe ee.(Ewe roho) Mimi nataka ushirika nawe ee (Roho) Mimi nataka ushirika nawe ee.(Ewe Roho) Mimi nataka ushirika nawe ee (Roho) Mimi nataka ushirika nawe ee.(Ewe roho) Mimi nataka ushirika nawe ee (Roho) Mimi nataka ushirika nawe ee.(Ewe roho) Mimi nataka ushirika nawe ee (Roho) Nimekubali habari hizi, Ya kuwa wewe ni Mungu Roho, Roho nataka ushirika nawe Ulikuwepo tokea mwanzo, Ulishiriki kuniumba Roho Roho nataka ushirika nawe Nakuhitaji maishani Unihifadhi moyo wangu Roho ee roho wee Nataka ushirika nawe eeh Mimi nataka ushirika nawe ee.(Ewe roho) Mimi nataka ushirika nawe ee (Roho) Mimi nataka ushirika nawe ee.(Ewe roho) Mimi nataka ushirika nawe ee (Roho) Mimi nataka ushirika nawe ee.(Ewe roho) Mimi nataka ushirika nawe ee (Roho) Wayachukua maombi wetu Watuombea kwa kuugua Roho Roho nataka ushirika nawe Ukiwa nasi twatiwa nguvu Twatenda kazi kwa ujasiri Roho Ee Roho nataka ushirika nawe Uyatawale maisha yangu Sitaogopa ukiwa nami Roho Eeh Roho eeh nataka ushirika nawe ee Mimi nataka ushirika nawe ee.(Ewe roho) Mimi nataka ushirika nawe ee (Roho) Mimi nataka ushirika nawe ee.(Ewe roho) Mimi nataka ushirika nawe ee (Roho) Mimi nataka ushirika nawe ee.(Ewe roho) Mimi nataka ushirika nawe ee (Roho) Wewe Mungu uliye hai Tena Roho wa kweli wewe kiongozi Nataka ushirika nawe Wewe mafuta ya shangwe Tena harabuni yetu Roho wa milele Nataka ushirika nawe Wewe Roho msaidizi Tena mshauri wetu Wewe kidole cha Mungu Nataka ushirika nawe eeh Mimi nataka ushirika nawe ee.(Ewe roho) Mimi nataka ushirika nawe ee (Roho) Mimi nataka ushirika nawe ee.(Ewe roho) Mimi nataka ushirika nawe ee (Roho) Mimi nataka ushirika nawe ee.(Ewe roho) Mimi nataka ushirika nawe ee (Roho) Mimi nataka ushirika nawe ee.(Ewe roho) Mimi nataka ushirika nawe ee (Roho)
Audio Features
Song Details
- Duration
- 05:57
- Key
- 4
- Tempo
- 122 BPM