Natamani
4
views
Lyrics
Natamani Baba ah! ah! Kua nawe, natamani, natamani kua ah! Natamani Baba Baba ah! ah! natamani kuwa Nawe, kuishi Nawe kukaa na Wewe Yesu oh oh, Wewe wanitosha Bwana wangu nakutamani Baba natamani, Uwe wangu nami niwe Wako Chote kilicho changu, kiwe ni Chako pia Upendo wako kwangu Yesu ni kama moto Nimekukimbilia, nisiaibike milele eh Baba Baba ah! ah! natamani kuwa Nawe, kuishi Nawe kukaa na Wewe Yesu oh oh, Wewe wanitosha Bwana wangu nakutamani Eh Bwana nimeona upendo wako sio kwamba Moyo wangu wafurahia ndani ya wokovu wako Nitakuinua Umekuwa mwema kwangu Pokea sifa wewe Umekuwa mwema kwangu, Wewe mwema Baba ah! ah! natamani kuwa Nawe, kuishi Nawe kukaa na Wewe Yesu oh oh, Wewe wanitosha Bwana wangu nakutamani Nitakuita hadi moyo wangu uzimie Uniongoze kwenye mwamba uliojuu, zaidi yangu (Yahweh) ah ah ah Nitakuita (Yesu) Bwana wangu Unisikie Ombi langu, sifa zangu, kilio changu, eh Bwana Ninapoomba (Wanisikia eh! Oh!) Ninapoimba (Wanisikia eh! Oh!) Ninapolia (Wanisikia eh! Oh!) Napokuita eh Bwana, Wasema wanisikia Baba ah! ah! natamani kuwa Nawe, kuishi Nawe kukaa na Wewe Yesu oh oh, Wewe wanitosha Bwana wangu nakutamani Baba ah! ah! natamani kuwa Nawe, kuishi Nawe kukaa na Wewe Yesu oh oh, Wewe wanitosha Bwana wangu nakutamani
Audio Features
Song Details
- Duration
- 04:22
- Key
- 2
- Tempo
- 92 BPM