Tambarare

3 views

Lyrics

Giza mbele na mauti nyuma
 Pande zote huo umeshindwa kwamba nini
 Pesa hakuna mali umenyang'anywa
 Wamekukimbia uliowategemea Nasikia sauti kilio cha Yesu
 Njooni kwangu mlio na mizigo Nitawapumzisha
 hakuna kilio tena Nitawapumzisha wataimba haleluya
 Nitaifanya milima tambarare Nitayafanya mabonde yote
 yajae Ntanyosha sawa njia zote Wanadamu tutauona eeh
 Ntaifanya mambo yote mapya eeh Tazama natenda
 kitu kipya leo Imba kwa shangwe wewe uliye tasa
 Shangilia sana wewe uliye tasa
 Panua nafasi imani mwako Tandaza
 pazia hapo unapoishi Utapanuka kila upande
 ♪
 Wazawa wakowatamiliki mataifa
 Sema Bwana
 Nitaifanya milima tambarare Nitayafanya mabonde yote
 
 yajae Ntanyosha sawa njia zote Wanadamu tutauona eeh
 ♪
 Nitaifanya milima tambarare Nitayafanya mabonde yote
 ♪
 yajae Ntanyosha sawa njia zote Wanadamu tutauona eeh
 ♪
 Unaweza Yesu wewee,
 Mungu wangu unaweza
 Mungu wangu wewe, Unaweza
 Mungu wee Mungu unaweza
 Hakuna linalikushinda unaweza
 Mungu eee, unaweza
 Yesu wee, Yesu wee, Unaweza
 Yesu wee, Yesu wee, Unaweza
 Mungu wee Mungu unaweza
 ♪
 Jehovah Shammah, Unaweza Jehovah Rapha,
 Unaweza Jehovah Nissi Unaweza Elshaddai Unaweza
 
Audio Features

Song Details

Duration
04:03
Tempo
102 BPM

Share

More Songs by Eunice Njeri

Similar Songs