Chaser 2.0

3 views

Lyrics

Kweli nakupenda
 Siwezi pinga
 Kuna vile wanikunywanga
 Lakini wa prefer Jameson
 Johnny Walker
 Vodka ndio handsome kwako
 Nina compe na alcohol juu yako
 Chagua moja
 Nimechoka kungoja
 Nataka tuwe pamoja
 Hoja ni moja
 Ukiwa sober
 Mpenzi chagua moja
 Mchezo unaocheza
 Umenishinda baby
 Mi si tena kijana
 Siku apply kuwa waiter
 Nimechoka kungoja ka chaser
 Uki sip ma alcohol tu zako
 Chagua moja
 Nimechoka kungoja
 Nataka tuwe pamoja
 Hoja ni moja
 Ukiwa sober
 Mpenzi chagua moja
 Juzi tulibonga
 Ukaniskiza vile unadai kuwacha
 Wikendi mbili ujawasha
 Ukani show
 Ni mimi tu ndio unataka
 Nita quit hii alcohol juu yako
 Chagua moja
 Nimechoka kungoja
 Nataka tuwe pamoja
 Hoja ni moja
 Ukiwa sober
 Mpenzi chagua moja
 ♪
 Choka kungoja ka chaser
 Choka kungoja ka chaser, yea
 Nimechoka kungoja ka chaser
 Nimechoka kungoja ka chaser
 Nimechoka kungoja ka chaser
 Nimechoka kungoja ka chaser
 Choka kungoja ka chaser
 Nimechoka kungoja ka chaser
 

Audio Features

Song Details

Duration
03:00
Key
4
Tempo
100 BPM

Share

More Songs by Flier

Similar Songs