Atarudi
7
views
Lyrics
Mmmmh... Na yeye ni mwanadamu dunia tunapita Aaaah ♪ Kama kupata kwa zamu (Oooh Zamu) Yangu Itafika. Siwezi Kaa na Damu kesho wataja nizika ila Ningependa uFahamu Haya Mateso ulonipa.Mmmh Tena Mwambieni Aloninyima mimi ndo Kampa Yeye Eeeeh. Kupata Foleni Nasubiri Yangu mimi Ataichelewe eeeh... Sina Furaha Naigiza ilimradi Watoto wasijihisi Vibaya. Aaaah Huyu Mdogo Anauliza eti daddy mama ameihama Kaya???? Chakujibu Sina Nabaki Tu kusema Aatarudi (Atarudi Mama)| Atarudi (Anawapenda Sana). | ×2 Aatarudi (Atawaletea zawadi) Atarudi | ♪ Siwezi Sema Sijui Tatizo Hali yangu Duni imefanya ukanikimbia... Ni vyema Ungefanya maigizo. Mara kumi Usingenizalia ♪ Ingali Mapenzi Pekee ningesema Nichangamoto Nijifunze Ameniacha Mpwekeee Na watoto Niwatunze. Eee eh Ila siwezi Mlaumu... Huenda Yupo Sawa. Aaaah Kipato Changu Kigumu Kutwa bumunda na Kahawa... Ila mwambieni alieninyima Mimi Ndo kampa Yeye... Eee eh Kupata Foreni Nasubiri Yangu Mimi itaichelewe Eee eh Oooohhh Sina Furaha Naigiza ilimradi Watoto wasijihisi Vibaya. Huyu Mdogo Anauliza eti daddy mama ameihama Kaya???? Chakujibu Sina Nabaki Tu kusema Aatarudi (Atarudi Mama)| Atarudi (Anawapenda Sana). | ×2 Aatarudi (Atawaletea zawadi) Atarudi ♪ Ohhhh My God Its Person...
Audio Features
Song Details
- Duration
- 04:38
- Tempo
- 105 BPM