Happy Birthday
6
views
Lyrics
Kwanza nina furaha nitaimba na kucheza (na kucheza) Washa mishumaa weka keki juu ya meza (juu ya meza) Oh ila usinicheke nimekuletea zawadi kidogo nilichobarikiwa Aki mwana mpweke aje na dumu la maji asije kakumwagia Ah na kapicha kako nitakoposti wasiokupenda itawacosti ♪ Ah leo siku yako nishajikoki tuko rafiki zako tunasema Happy birthday Happy birthday to you Happy birthday to you Happy birthday to you Happy birthday to you ♪ Ah sinywagi pombe leo ntalewa niwape shonde waliochelewa Zikinipanda monde nitapepewa ah pembe la ng'ombe au malewa Ila usiforget kusema asante baba na mama walokukuza ukakua Tunakupa na keki kwa wema akulinde baba maulana twakuombea na dua Ah na kapicha kako nitakoposti wasiokupenda itawacosti Ah leo siku yako nishajikoki tuko rafiki zako tunasema Happy birthday Happy birthday to you Happy birthday to you Happy birthday to you Happy birthday to you ♪ Kata keki kata (kata) oh kata (kata) kata (kata) kata unilishe Keki ya jina lako (kata) walishe na wenzako (Kata) tupo kwa ajili yako (kata) Kata unilishe Oh basi kata (kata) oh kata (kata) Kata nipone (kata) kata (kata unilishe) Kata, Kata, Kata, Kata unilishe Ah na kapicha kako nitakoposti
Audio Features
Song Details
- Duration
- 03:29
- Key
- 6
- Tempo
- 126 BPM