Nyota Feat Damian Soul

6 views

Lyrics

Aweooo! Aweooo!
 Ehhh
 Nasema nibure mikiombea nyota
 Chini zianguke
 Eeeh
 Nasema nibure mikiombea nyota
 Chini zianguke
 Eeeh
 Na wala siwaooni, Ooni eh eeh
 Na wala siwaooni, Ooni eh eeh
 Ma money is money men heeh
 Awe ooh
 Laaala lala lala
 Wait til' I get my money
 Kama daladala, nakusanya jala
 Usiniuzie meno what's funny?
 Mi ni mpango wa Baba angu aliye juu
 Nami nna mipango mmoja wapo ni huu
 Nazibebea bango kuzipeleka juu
 Mama ake king na king watabasamu tu
 Vile king nazipiga bling- bling
 Flow zingatia usafi
 Watoto wa pale kitaa Siwalishi makapi
 Mimi ndio mkondo wenyewe mikondo sifati
 Angalizo isiwe shidaa huh
 Siangalii saa kujua mudaa
 Najua kila muda ni sa aya kuwa-murder
 Sisi sio wale wasee wageuza mada
 Sikimbizi nyie wasee nakimbiza chaada
 Laaala lala lala
 Wait til' I get my money
 Kama daladala
 Nakusanya jala
 Usiniuzie meno what's funny?
 Nasema ni bure nikiombea nyota
 Chini zianguke Eeeh
 Nasema nibure nikiombea nyota
 Chini zianguke Eeeh
 Na wala siwaooni ooni eh eeh
 Na wala siwaooni ooni eh eeh
 Uh laa la la wait til' I get my money
 Uzidi kupata burudani
 Hapo kati kule nje hata ndani
 Uh laa la la wait til I get my money yoh
 Uzidi kupata burudani
 Hapo kati kule nje hata ndani
 Nepepeta pumba kujifunza
 Pasipo kujifunza ni kuwa funza
 Kuthamini chako na kutunza
 Amini bora uzima
 Mengine yatafutwa
 Kama maji kujaa
 Na maji kukupwa
 Bora uzima hakuna tapatapa
 Ni mola pekee
 Anaeinjinia hapa
 Bora uzima vingine vyatafutwa
 Kama maji kujaa
 Na maji kukupwa
 Bora uzima hakuna pupapupa
 Ni mola pekee
 Anaeinjinia hapa
 Nasema nibure Mikiombea nyota
 Chini zianguke Eeeh
 Nasema nibure Mikiombea nyota
 Chini zianguke
 Eeeh
 Na wala siwaooni Ooni eh eeh
 Na wala siwaooni Ooni eh eeh
 Na wala siwaooni Ooni eh eeh
 I don't see no body
 Sichungi ulimi sababu
 Sizungumzii ya watu
 Nachunga biashara
 Maana binadamu sio watu
 Siziogopi hasara
 Siziogopi hasara maana hasara hunifunza vitu
 Hamkai patakatifu
 Joh siwavulii viatu
 Ni mziki tu vipi mlaze makaburini watu
 Baraka za baba
 Angu zipo hadharani
 Na maushetani
 Yenu vichochoroni
 Laaala lala lala
 Wait ti'l i get my money
 Kama daladala nakusanya jala
 Usiniuzie meno what's funny?
 Nasema nibure mikiombea nyota
 Chini zianguke Eeeh
 Nasema nibure mikiombea nyota
 Chini zianguke Eeeh
 Na wala siwaooni Ooni eh eeh
 Na wala siwaooni Ooni eh eeh
 Laaala lala lala (Awe ooh)
 Laaala lala lala (Awe ooh)

Audio Features

Song Details

Duration
03:55
Key
7
Tempo
202 BPM

Share

More Songs by Joh Makini

Albums by Joh Makini

Similar Songs