Simwachii Mungu Feat Ben Pol

5 views

Lyrics

I love what I am doing.
 Yeah... Aaah!
 Some other people miss the old me
 Some other people love the new me
 I thank God all these people They don't know me yet
 Class ni kitaa and they crown me, yes
 Hata we shetani kunielewa mimi ni bless
 Mi sioni mganga wa kuniganga miii
 Am on my own lane eh
 Am on my own plane
 (Bridge.)
 Nadili nasura zao Zote mbili kila duru
 Simwachii Mungu
 Si aliniumba kwa mfano Wake basi mi ni nuru
 Simwachi Mungu
 Nadili nasura zote Mbili kila duru Simwachi Mungu Eh
 Si aliniumba kwa mfano wake basi mi ni nuru
 Simwachii mungu
 (Chorus) BenPol
 Maana niko naye
 Sina cha kuogopa ah
 Nami ni mwanae
 Kote mi napita ah
 Maana niko naye
 Sina cha kuogopa ah
 Name ni mwanae
 Kote mi napita ah
 II
 Unkinyonya haki yangu nayostahili
 Nasimama kukukabili
 Sikusomei albadili
 Wala si'endi mahakamani na mawakili
 Kanipa juu mamlaka sina fear kabisa Tuna kila taarifa utajiri maarifa
 Mi masihi mwafrika sime si–toshika
 Ukinirusha saa sita Nakumurder saa tisa
 Nkikukosa masika Nakuuzia za vuli Kama kaka nimekuwa Kwa madogo kivuli
 Shetani kwenye mnada namuuza bei nzuri
 Mungu baba anajua huyu mwanangu kiburi
 Nasimama kama moya Niongezee masifuri
 Depo ilikuwa ni daraja mbili si njoo vizuri
 Nadili na sura zao Zote mbili kila duru simwachii Mungu
 Si aliniumba kwa mfano wake basi mi ni nuru
 Simwachii Mungu
 Nadili nasura zote Mbili kila duru
 Simwachii Mungu
 Si aliniumba kwa mfano wake basi mi ni nuru
 Simwachii Mungu
 Maana niko naye
 Sina cha kuogopa ah
 Nami ni mwanae Kote mi napita ah
 Maana niko naye Sina cha kuogopa ah
 Nami ni mwanae Kote mi napita ah
 III Si
 Penzi mawazo Ya kupewapewa
 Na ndo mana mi sipendi bure
 Sipendi ukoloni hasa mkoloni mweusi
 Na ndomana joh mi siendi kule
 Ili tu mi nile zile chuki zile
 Hunijui kivile
 Nyani haoni kundule
 You kiss ass na mnabaki na dhiki daily
 Na misa za kanisa mko siti za mbele
 Ni msasa nakuna kama kuna vipele N
 Nami sa-sinafichua kama deutsche-welle
 Wanasiasa hawamwachii mungu wanajipa madaraka
 Nyumba za ibada hazimwachi kukusanya sadaka
 Nami simwachi kujitoa uswahilini kwenye taka
 Niko vitani kipande cha keki yangu nataka
 Am on my own lane
 Am on my own plane
 Nadili na sura zao zote mbili kila duru
 Simwachii Mungu
 Si aliniumba kwa mfano wake basi mi ni nuru
 Simwachi mungu Nadili na sura zao zote mbili kila duru
 Simwachii Mungu
 Si aliniumba kwa mfano wake basi mi ni nuru
 Simwachii Mungu
 Maana niko naye Sina cha kuogopa ah
 Nami ni mwanae Kote mi napita ah
 Maana niko naye Sina cha kuogopa ah
 Nami ni mwanae Kote mi napita ah
 Yeeahhhh... Yeeahhhh... Oh niko nae... niko nae
 

Audio Features

Song Details

Duration
04:23
Key
8
Tempo
98 BPM

Share

More Songs by Joh Makini

Albums by Joh Makini

Similar Songs