Kembo

8 views

Lyrics

unaniaca unaenda tena
 nabaki apa mimi peke yangu
 watoto, watoto wanaliya
 usiende...
 kembo, kembo, kembo...
 watoto wanaliya... wewe
 "napashwa"
 wandugu wanaliya...
 ni wewe
 "napashwa"
 ata mama yako analiya
 "napashwa"
 mimi bibi yako naliya
 usiende na sorrow
 nitangoja... kembo.
 "usiende na sorrow
 tutangoja"
 usiende na sorrow
 tutangoja... kembo.
 watoto wanaliya... hood!
 "unapashwa"
 wandugu wanaliya... hood!
 "unapashwa"
 ata mama yako analiya
 "unapashwa"
 mimi bibi yako naliya
 usiende na sorrow
 nitangoja...
 kembo... kembo... kembo...

Audio Features

Song Details

Duration
03:46
Key
4
Tempo
87 BPM

Share

More Songs by Khadja Nin

Albums by Khadja Nin

Similar Songs