Like An Angel

4 views

Lyrics

analiya disiwe
 mume wake
 ajali haina kinga
 wala kafara
 anaenda kijana
 maladi inamushinda
 ana aca bibi
 na mutoto mudogo
 mwanaume
 analala kimya
 like an angel
 mbele ya kufunga maco
 alimwambiya:
 "bibi yangu unisamehe
 ju sina mali
 ya kukuaciya
 mungu akulinde
 like an angel"
 mawa ju kijana ule
 anaenda huruma
 mawa oh! maliyo!
 sheria ya mungu mama
 hayijulikane
 ajali haina kinga
 wala kafara:
 "kwaheli
 mpenzi wangu
 wende salama
 lala... like an angel
 like an angel"

Audio Features

Song Details

Duration
05:12
Key
9
Tempo
92 BPM

Share

More Songs by Khadja Nin

Albums by Khadja Nin

Similar Songs