Swing

3 views

Lyrics

Si lazma useme mwenyewe najua
 Nina madame wa kishua
 Sura macho mbele na nyuma (hey!)
 Si lazma useme mwenyewe najua
 Nina madame wa kishua
 Sura macho mbele na nyuma (hey!)
 Swing swing muziki ni boomba
 Talanta si ndumba
 Rafiki acha kuzubaa
 Dada amsha
 Hizo mipacha
 Swing swing muziki ni boomba
 Talanta si ndumba
 Rafiki acha kuzubaa
 Dada amsha
 Hizo mipacha
 1 (Nakiri aka Nyashinski)
 Nina madame wa kila kabila wakamba wajaka
 Madame wa ku-boogie na kucheza chakacha
 Don't you wanna get with me tonight
 Naughty naughty exercise
 Nina madame wa kiafrika na siringi
 Na mapandre makalasinga iko nini
 (Munkiri aka Roba)
 E-yo nikata yamaanisha nini jamaa
 Ukitaka kujua kuja nami baadaye
 Mahali kuna mabaibe ka kadhaa
 Nice bums, eh, alaa
 Friday saa nne tuko ndani ya taxi
 Madame kama thirty kuna joto vi-nasty
 Wengine wakonda wengine fatty fatty
 Weusi weupe wengine kati kati
 Dere pole pole achana na shortie
 Vitendo vinafanywa ndani ya moti
 Juu dame ameshapiga magoti
 Hoi! Roba acha dough!
 (Nakiri aka Nyashinski)
 Swing swing muziki ni boomba
 Talanta si ndumba
 Rafiki acha kuzubaa
 Dada amsha
 Hizo mipacha
 Swing swing muziki ni boomba
 Talanta si ndumba
 Rafiki acha kuzubaa
 Dada amsha
 Hizo mipacha
 2 (Depicto aka Collo)
 Shorty nataka wakati nipakate miniskirti na
 Shati nivue mpaka mwenyewe useme hutaki girl
 The way you popping it lazima nikustaki girl
 Kwa mathee mazee itabidi nimesema ha
 Lakini kwa nini mami mi zinanifanya natokwa na maji ka samaki girl
 Ukiinama mi nasimama na nasimama kinyama
 Jilaze mami lala na mtalala salama
 Basi fanyeni the Klep-kle-klep
 Wale huko nyuma ongezeni the to-to-to
 Your boy Depicto
 (Nakiri aka Nyashinski)
 Si lazma useme mwenyewe najua
 Nina madame wa kishua
 Sura macho mbele na nyuma (hey!)
 Si lazma useme mwenyewe najua
 Nina madame wa kishua
 Sura macho mbele na nyuma (hey!)
 Swing swing muziki ni boomba
 Talanta si ndumba
 Rafiki acha kuzubaa
 Dada amsha
 Hizo mipacha
 Swing swing muziki ni boomba
 Talanta si ndumba
 Rafiki acha kuzubaa
 Dada amsha
 Hizo mipacha
 3 (Nakiri aka Nyashinski)
 Mr. DJ, Mr. DJ, Mr. DJ
 Twende kazi wewe
 Mr. DJ, Mr. DJ, Mr. DJ
 Twende kazi beshte
 Mr. DJ, Mr. DJ, Mr. DJ
 Twende kazi baibe
 This once for we
 You and me
 Nyash na kabaibe
 (Nakiri aka Nyashinski)
 Swing swing muziki ni boomba
 Talanta si ndumba
 Rafiki acha kuzubaa
 Dada amsha
 Hizo mipacha
 Swing swing muziki ni dumba
 Talanta si ndumba
 Rafiki acha kuzubaa
 Dada amsha
 Hizo mipacha

Audio Features

Song Details

Duration
04:06
Key
8
Tempo
102 BPM

Share

More Songs by Kleptomaniax

Similar Songs