Tuendelee

3 views

Lyrics

Aha ni Nyashinski na DEP
 Vile naifeel tu vile naifeel manze
 Ka ningekuwa msanii wa sanaa ya silaha
 Ningekuwa na jamii ya ma-Sadaam ka wasaba na
 Mabunduki na makofia ka bilauri
 Bidhaa za kujijali tu hali ni shauri
 Skiza sauti kutoka Kenya mpaka Saudi
 Arabia maajabu ya Musa firauni
 Huyu kijana anafanya vipusa wa towni
 Wavue mashati ma-panty ni kama waoni
 Wenda wazimu na sa skiza hii story vizuri jamaa
 Rap naifanyia chapaa
 Na mafans wanaonipenda jamaa
 Sa hata ukinichukia siezi jali ata
 Ka wee ni MC stick to the wax
 Unafaa kuweza kutumia hip hop na other tracks
 Si kuchukia wadhii juu wanatawala industry
 Na wee bado uko huko chini
 Kabla jina yako i-grow jipe miaka ka nane
 Ka lazma nikutukane ndio ujulikane
 Hip hop ni culture ya love usisahau
 Pole kukuambia sikuchukii nakudharau
 Tuendelee ama tusiendelee (endelea)
 Tuendelee ama tusiendelee (endelea)
 Tuendelee ama tusiendelee (endelea)
 Tuendelee ama tusiendelee (endelea)
 Naskia kuna MCs flani wametutusi
 Ati ma-lyrics zetu mazee ni za upuzi
 Na heri sisi hao wamejaa na virusi
 Kumangana kila mahali kama mambuzi
 Na ningekimya ningenyamaza singejali
 Ni venye rap jo nilianza uchangani
 Ukalimani ukali yani u hali gani
 MC, lengo la kuroga ni kupata mali
 Matamshi yachanganya kama lugha ya panjabi
 Kukubaliwa na wanati hata na mabarbie wee!
 Wacha kuji-do msee hatari
 Tema na mimi nasema lakini tu ni safari
 Tuendelee ama tusiendelee (endelea)
 Tuendelee ama tusiendelee (endelea)
 Tuendelee ama tusiendelee (endelea)
 Tuendelee ama tusiendelee (endelea)
 Tuendelee ama tusiendelee (endelea)
 Tuendelee ama tusiendelee (endelea)
 Tuendelee ama tusiendelee (endelea)
 Tuendelee ama tusiendelee (endelea)
 Niaje bro (vipi beste)
 Niaje siste (vipi dada)
 Tunawacheki (mnatucheki)
 We got mad, mad love for y'all
 Niaje bro (vipi beste)
 Niaje siste (vipi dada)
 Tunawacheki (mnatucheki)
 We got mad, mad love for y'all
 Nina tracki nina mistari swahili jangili
 Mkono wa kushoto ni mic, mbota na bangili
 Tema na mimi ka una rhymes ka mia mbili
 Ka sivyo risasi kwa shingo macho na akili
 Lakini kabla nijaze nafasi ya pili
 Lazma nirudishe matusi za hawa makafiri
 Barabara na gari nawacha mkiwa chakari
 Kazi ni usafiri
 Nasi maMC wachachari
 Kabla single yako ipite yangu kwa charti
 Geuza jina geuza flow geuza trouser na shati
 Na bado ukitoboa kunigusa ni bahati
 Naroga na kihindi tena kigujarati yeah
 Zagablo, zigizow, zigizow
 Kutema na mimi lazima utupe mbao
 Ule jamaa mlidharau sa na-spit ka bunduki
 Chiki blao chiki chiki blao blao
 Hatucheki na wadhii
 Mafans wetu wamesema ndio
 Au sio
 Au sio
 Tuendelee ama tusiendelee (endelea)
 Tuendelee ama tusiendelee (endelea)
 Tuendelee ama tusiendelee (endelea)
 Tuendelee ama tusiendelee (endelea)
 Niaje bro (vipi beste)
 Niaje siste (vipi dada)
 Tunawacheki (mnatucheki)
 We got mad, mad love for y'all
 Niaje bro (vipi beste)
 Niaje siste (vipi dada)
 Tunawacheki (mnatucheki)
 We got mad, mad love for y'all
 Niaje bro (vipi beste)
 Niaje siste (vipi dada)
 Tunawacheki (mnatucheki)
 We got mad, mad love for y'all
 Niaje bro (vipi beste)
 Niaje siste (vipi dada)
 Tunawacheki (mnatucheki)
 We got mad, mad love for y'all

Audio Features

Song Details

Duration
05:03
Key
2
Tempo
96 BPM

Share

More Songs by Kleptomaniax

Similar Songs