Ombi Langu Kwa Mungu

2 views

Lyrics

Ombi langu kwa Mungu Ombi langu kwa bab
 nawe siku ubarikiwe ubarikiwe ombi
 langu kwa baba ombi lanu kwa Mungu
 akuepushe na ajali na matatizo
 ufanikiwe umkumbuke katika
 siku zako zote za maisha Akubariki
 Akujalie hali njema na afya
 Mungu akupe nguvu ya kuvumilia

Audio Features

Song Details

Duration
09:10
Key
1
Tempo
94 BPM

Share

More Songs by Martha Mwaipaja

Similar Songs