Huniachi
3
views
Lyrics
Atcha ni musherekeye Bwana muaminifu Mungu wa miliungu asiye badilika Akihahidi jambo lita timiya Ata binadamu abadilike yeye ana baki muaminifu Bwana umehahidi mambo mengi tu mimi minakuamini Umeahidi Wewe Bwana huniachi Hadi mwisho wa dahari ulisema huniachi Wewe ni Mungu uliye mwaminifu siku zote Mimi ninaiweka imani yangu kwako Bwana (imba dada Gloria) Nipitapo maji mengi au moto huniachi Unalijua jina langu ewe bwana huniachi Unatengeneza njia hata mito kule jangwani Wewe ndiwe alpha na omega huniachi Umeahidi wewe Bwana huniachi Hadi mwisho wadahari ulisema huniachi Wewe ni Mungu uliye Mwaminifu siku zote Mimi ninaiweka imani yangu kwako Bwana Uliwalinda wa Israeli kule jangwani Ukamtoa Danieli kutoka tundu la simba Wewe huwainua na wanyonge siku zote Watuepusha na hatari kila siku usifiwe Umeahidi wewe Bwana huniachi Hadi mwisho was dahari ulisema huniachi Wewe ni Mungu uliye Mwaminifu siku zote Mimi naiweka imani yangu kwako Bwana Baba hata mama wanaweza kunikana Marafiki naona wanaweza nigeuka Mara kwa mara maadui wanizunguka Nitaishi kwa ahadi yako Bwana huniachi Huniachi Umeahidi wewe Bwana huniachi Hadi mwisho wa dahari ulisema huniachi Wewe ni Mungu uliye mwaminifu siku zote Mimi naiweka imani yangu kwako Bwana Umeahidi wewe Bwana huniachi Hadi mwisho wa dahari ulisema huniachi Wewe ni Mungu uliye mwaminifu siku zote Mimi naiweka imani yangu kwako baba
Audio Features
Song Details
- Duration
- 05:02
- Tempo
- 90 BPM