Nerea
3
views
Lyrics
Nakuomba Nerea Usitoe mimba yangu, eeh Mungu akileta mtoto analeta sahani yake Mlete nitamlea Usitoe mimba yangu eeh Mungu akileta mtoto analeta sahani yake Huenda akawa Obama, atawale America Huenda akawa Lupita, Oscar nazo akashinda Huenda akawa Wanyama, acheze soccer Uingereza Huenda akawa Kenyatta, mwanzilishi wa taifa Nakuomba Nerea usitoe mimba yangu Mungu akileta mtoto, analeta sahani yake Mlete nitamlea usitoe mimba yangu, eeh Mungu akileta mtoto, analeta sahani yake (Nitamlea) ♪ Huenda akawa Mathai, ailinde mazingira Huenda akawa Makeba, nyimbo nzuri akatunga Huenda akawa Nyerere, aongoze Tanzania Huenda akawa Mandela, mkombozi wa Africa Nakuomba Nerea usitoe mimba yangu eeh Mungu akileta mtoto analeta sahani yake Mlete nitamlea usitoe mimba yangu Mungu akileta mtoto, analeta sahani yake ♪ Nakuomba Nerea (Nerea) Nerea (Nerea) Nerea (Nerea) Usitoe mimba yangu Nerea Nerea Nerea Usitoe mimba yangu Huenda akawa Kagame, atawale Jaramogi Odinga, tuungane Huenda akawa Tom Mboya Huenda akawa Rudisha Huenda akawa malaika, Mungu ametupatia Huenda akawa Sauti Sol Huenda akawa Amos and Josh Huenda akawa ah-ah-ah Huenda akawa malaika, Mungu ametupatia
Audio Features
Song Details
- Duration
- 03:25
- Key
- 1
- Tempo
- 95 BPM