Unastahili Kuabudiwa

4 views

Lyrics

unastahili
 mungu wetu tunakusifu
 mungu wetu twa kuinua
 yale uyatendayo
 ni makuu muno
 fadhili zako za milele
 haufananishwi na chochote
 ndiwe uliye mwanzo
 tena ni mwisho
 unastahili yesu kuabudiwa
 unastahili yesu kuinuliwa
 unastahili yesu kushujudiwa
 aaa-aaaa aaa-aaa
 unastahili
 nikiziangalia bingu
 ni kazi ya mikono yako
 vinavyo onekana
 na visivyo onekanaa

Audio Features

Song Details

Duration
08:08
Tempo
122 BPM

Share

More Songs by UPENDO NKONE

Similar Songs