Upendo Wa Yesu

3 views

Lyrics

Eh tunamsifu Mungu
 Anatulinda
 Kila siku
 Upendo wake umetuzunguka siku zote
 Halleluyah
 Huku na huku eeh kama mawimbi, upendo wa Yesu wanizunguka
 Kila ninapoimba kama mawimbi, upendo wa Yesu wanizunguka
 Niwapo nimelala kama mawimbi, upendo wa Yesu wanizunguka
 Na ninapo tembea tembea kama mawimbi, upendo wa Yesu wanizunguka
 Hata nikiwa nakula kama mawimbi, upendo wa Yesu wanizunguka
 Eh niwapo safarini kama mawimbi, upendo wa Yesu wanizunguka
 Nikiwa masomoni kama mawimbi, upendo wa Yesu wanizunguka
 Kila tunapokwenda tumezungukwa na nguvu za Mungu
 Na kila tunalolifanya ambalo ni kwa ajili ya
 utukufu wa jina lake tumezungukwa na upendo wake halleluyah
 Huku na huku na kule na hapo kama mawimbi, upendo wa Yesu wanizunguka
 Anitegulia mitego ya muovu kama mawimbi, upendo wa Yesu wanizunguka
 Mi nalindwa kuliko wakuu wa dunia
 kama mawimbi, upendo wa Yesu wanizunguka
 Hata nikiwa pekee yangu kama mawimbi, upendo wa Yesu wanizunguka
 Na nikiwa nyumbani kwangu kama mawimbi, upendo wa Yesu wanizunguka
 Na nikiwa kazini kama mawimbi, upendo wa Yesu wanizunguka
 Huku na huku na huku kama mawimbi, upendo wa Yesu wanizunguka
 Nikiwa hospitalini kama mawimbi, upendo wa Yesu wanizunguka
 Nimezungukwa na nguvu za Mungu kama
 mawimbi, upendo wa Yesu wanizunguka
 Huku na huku he kama mawimbi, upendo wa Yesu wanizunguka
 Mawimbi mawimbi
 Kama mawimbi, upendo wa Yesu wanizunguka

Audio Features

Song Details

Duration
04:21
Key
5
Tempo
108 BPM

Share

More Songs by UPENDO NKONE

Similar Songs