Siteketei

3 views

Lyrics

Mi siteketei siangamiii
 Sigharikishwi upo nami
 Mi siteketei siangamiii
 Sigharikishwi upo nami
 Upimwi kwa siku upimwi kwa miaka
 Huna hata Siri majira
 uzuiwi na muda
 umejawa na nguvu
 ndio maama nakuita baba
 Moyoni mwangu najawa sifa na ujasiri katika wewe
 hakuna mlima wa kuniangusha ndani yako nasimama
 Mi siteketei siangamiii Sigharikishwi upo nami
 Mi siteketei siangamiii Sigharikishwi upo nami
 Nimezungukwa nawe kila upande hakuna jambo la kuniangamiza
 majeshi yalo upande wangu
 ni mengi sana kuliko hawa wa dunia
 hatua zangu zaongozwa nawe
 siangamii siteketei
 katika wewe Nina simama
 siteketei na nina dumu
 Mi siteketei siangamiii Sigharikishwi upo nami
 Mi siteketei siangamiii Sigharikishwi upo nami
 Kwako bwana nasimama
 Tiba mwamba ni salama
 kwako bwana nasimama eh eh eh
 For they that believe in you
 we shall stand firm forever forever
 Mi siteketei siangamiii Sigharikishwi upo nami
 Mi siteketei siangamiii Sigharikishwi upo nami
 
Audio Features

Song Details

Duration
03:30
Key
1
Tempo
101 BPM

Share

More Songs by Angel Benard

Similar Songs