Kuna Sauti Yaita

3 views

Lyrics

Lala lala
 Lala
 Lala
 Lala lala lala
 Lalalalala
 Aku
 Aku
 Ita
 Ita
 Kwa upendo mwingi
 Kwa upendo mwingi
 Uli
 Uli
 Opo
 Jeanje kwangu
 Mchuungaji mwema ndiye akuita njoo haraka
 Ni kwa nini umeyaruhusu
 Eeh muungu mwenyezi
 Yatuusononeshe moyoni
 Ni kwa nini uliyaruhusu
 Ona haya machozi
 Tazama tunavyoliia
 Twajiuliza sanaaa bwana ni kwa nini uliyaruhusu??
 Nakumbuka kwa usiku huo
 Usiku wa uzuni mwiingi
 Nikaakubali bwana kwamba
 Wenzetu wapumzike
 Najiuliza moyoni
 Kwanini bwana mwenyeezi
 Unaruhusu husu

Audio Features

Song Details

Duration
03:49
Key
7
Tempo
200 BPM

Share

More Songs by Ambassadors Of Christ Choir

Similar Songs