Ninajua Kwa Hakika

3 views

Lyrics

Ninajua kwa hakika siku ikifika
 Nitarudi mavumbini nilipotoka
 Siku zangu za kuishi zitakapokoma
 Nitapumzika na taabu.
 Maisha ya dunia mafupi sana
 Leo upo pamoja na wapendwa
 Kesho wamekwenda
 Nikitambo
 Kidogo tu tunatoweka
 Waliohai wanajua watasinZia
 Wakisubiri sikuile ya hukumu
 Waliolala katika jina lake Yesu
 Ndio wataishi milele
 Inahuzunisha tutenganapo
 Lakini ni kitambo kidogo tu
 Yote yanakwisha
 Kumbukumbu zatoweka
 Twayasahau
 Lakini ipo habari Yakupendeza
 Kwamba bwana wangu atakuja
 Nazo nguvu nyingi
 Ataita, eh rafiki yangu amkaaaa
 

Audio Features

Song Details

Duration
05:10
Key
3
Tempo
91 BPM

Share

More Songs by Ambassadors Of Christ Choir

Similar Songs